BEKI wa Dodoma Jiji FC, Anderson Solomon ameweka wazi anajipanga vyema kuhakisha anapambania namba katika kikosi hicho pindi ...
STRAIKA Prince Dube, ambaye ni raia wa Zimbabwe amefikisha mabao matano huku akiiongoza Yanga kuisulubu Dodoma Jiji magoli 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa ...
DAR ES SALAAM; YANGA leo watakuwa wanaikaribisha Fountain Gate FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa KMC, Mwenge Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wanakuwa na ari ya kuendeleza ...
Ushindi wa mechi nne mfululizo za Ligi Kuu Bara kwa Yanga tangu ianze kufundishwa na Kocha Sead Ramovic ... Ramovic ambaye katika mechi nne za ligi ameshinda zote dhidi ya Namungo (2-0), Mashujaa (3-2 ...
Dar es Salaam. Yanga imeendeleza historia yake tamu dhidi ya Dodoma Jiji kwenye Ligi Kuu baada ya leo kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
YANGA ina rekodi nzuri inapocheza dhidi ya Dodoma Jiji katika mechi za Ligi Kuu Bara kwani haijawahi kupoteza tangu zianze kukutana Desemba 19, 2020. Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic analitambua hilo ...