Matokeo hayo yanaifanya Singida Black Stars kufikisha pointi 27 sawa na Yanga, lakini ikiendelea kuwa nafasi ya nne kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa huku Dodoma Jiji ikisalia na pointi 16, ...
Timu hiyo inafuatiwa na Yanga pamoja na Azam zinashika nafasi ya tatu ambazo zote zimepachika mabao manane kila moja ikicheza viwanja vya nyumbani. Timu za JKT Tanzania, Dodoma Jiji, Singida Black ...