Mfamasia Mwandamizi kutoka Wizara ya Afya, Msafiri Kiwanga, amesema hayo wakati akizungumza na redio Clouds, leo. “Unapopiga pasi ukaunguza nguo yako inatengeneza kama ‘oil’ ambayo imegandia katika ...
Je umekuwa ukibugia mvinyo ili ili ukusaidie kiafya? Watafiti wanadai kuwa mvinyo mwekundu (Red wine) hauna manufaa kama ilivyodhaniwa kuwa nayo kwa moyo wa binadamu. Wanasayansi nchini Italia ...
NHK inajibu maswali yanayohusiana na maisha ya kila siku. Japani imeshuhudia ongezeko la idadi ya ajali zinazohusisha kile kinachoitwa "kuendesha baiskeli bila kumakinika,” kwa kutumia simu za mkononi ...
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka vijana nchini badala ya kuuliza nini nchi iwafanyie, ni vema wajiulize wao wataifanyia nini nchi yao. Nyalandu ameyasema hayo leo ...