Bashar al-Assad ameingia kwenye orodha ya viongozi mashuhuri wa nchi za Kiarabu waliopinduliwa tangu kuanza kwa maandamano katika nchi za kiarabu yapata mwongo mmoja nyuma. Hadi mwisho wa 2010 ...
Mkutano wa Vienna ulikuwa mkutano wa kimataifa wa nchi za Ulaya uliofanyika mjini Vienna (Austria) kati ya 18 Septemba 1814 hadi 9 Juni 1815. Maazimio ya mkutano huu yalichora mipaka ya Ulaya kwa ...
Wahusika wote hawa wanafuatilia hali hiyo kwa karibu sana, kwa hofu ya kutokea moto mkubwa ambao utaathiri vibaya zaidi uchumi wa nchi. Barabara inayovuka nchi pia imefungwa mahali.
Nchini Ghana, tangu Januari 1, hakuna raia wa bara la Afrika anayepaswa kuwasilisha visa baada ya kuwasili. Kwa hiyo nchi hiyo inaungana na orodha ya mataifa mengine manne barani humo kupitisha ...
Maafisa wa nchi hiyo walihusisha vifo vya watoto watatu waliofariki baada ya kunywa kemikali kufuatia vidio zilizochapishwa kwenye mtandao wa TikTok. Mtandao huo maarufu wa kijamii unaochapisha ...
HTS limetangazwa kama shirika la kigaidi na Umaja wa Mataifa , Marekani, Uturuki na nchi nyingine. Chanzo cha picha, Reuters HTS lilianzishwa chini ya jina tofauti, Jabhat al-Nusra , mwaka wa 2011 ...
Rais mpya wa Georgia Mikheil Kavelashvili, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa nchi za Magharibi, ameapishwa leo licha ya wiki kadhaa za maandamano. https://p.dw.com/p/4oelW ...
Ujumbe wa Ukraine uliomjumuisha Waziri wa Mambo ya Nje Andrii Sybiha umeitembelea Syria na kuelezea matamanio yake ya kuondoa ushawishi wa Urusi kutoka nchi hiyo ya Mashariki ya Kati. Ujumbe huo ...
Picha na Maktaba Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadem-Bara, Tundu Lissu amependekeza viongozi wa dini na mabalozi wa nchi marafiki, waalikwe kuwa sehemu ya watazamaji wa uchaguzi wa ndani wa ...
BASHAR al-Assad, Hosni Mubarak, Zine al-Abidine Ben Ali, Muammar Gaddafi na Ali Abdullah Sale ni wakuu wa nchi zenye asili ya kiarabu, wakiziongoza nchi kwa vipindi tofauti, wengi kuanzia mwaka 2011.