"Simu yangu Ilikuwa kama sehemu ya maisha yangu na ilinibidi kuwa karibu nayo kila wakati. Vinginevyo, nilihisi kama nilikuwa nikipungukiwa kitu." Simulizi ya Maria Aparecida Silva, mstaafu mwenye ...
Swali: Kuna vitu Antie nashindwa hata kuamini, inawezekanaje mkeo akufiche kuhusu kuwa na mimba ambayo bila shaka wewe ni mhusika! Nashangaa mke wangu ananificha mimba yetu, inawezekanaje. Huu ni ...
"Kampuni ya uokoaji ilisema haikuwa na mtu yeyote ambaye alitaka kushuka. Kwa hiyo mimi na rafiki yangu Mandla tulikubali kujitolea ili tuweze kuwasaidia ndugu zetu." Lakini ingawa alitaka ...
“Niko sawa kucheza, afya yangu imeimarika na mashabiki wangu wasihofu, Yanga ina kikosi kipana na bora. Tutafanya vizuri tu,” alisema Diarra aliyekuwa akiuguza misuli ya kigimbi cha mguu wa kulia.