Ndani ya uwekezaji kiafya unaoendelea nchini, Rais Dk. Samia, amwekeza pia katika vifaa kukiwapo shilingi bilioni 14.9 zilizozinduliwa na aliyekuwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, kusaidia ununuzi wa ...
Spika wa Bunge, Dk.Tulia Ackson, aliyasema hayo juzi bungeni baada ya kuipa nafasi serikali kutafuta majibu sahihi kufuatia maswali ya nyongeza ya Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA), Agnesta Kaiza.
Dodoma. Sakata la utoro wa mawaziri, naibu mawaziri na wabunge bungeni limewaibua wachambuzi wa masuala ya siasa baadhi wakirudisha mpira kwa Spika wa Bunge kutumia kanuni kukomesha hali hiyo. Baadhi ...
Kutokuwa na wingi wa viti kuna maana itakuwa vigumu kwa Waziri Mkuu Ishiba kupitisha bungeni sera za chama chake, na huenda akahitajika kumtafuta mshirika wa tatu katika muungano tawala.
Vyombo vya habari nchini Japan, vinatabiri kwamba chama tawala nchini humo kilichokumbwa na kashfa kitakosa wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Vyombo vya habari nchini ...