Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kwamba Ufaransa itatoa euro milioni 100 kwa Lebanoni, akiongeza kwamba "vita vinapaswa kukoma haraka iwezekanavyo" kati ya Israel na Hezbollah ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Waziri Mkuu ajaye wa Japani Ishiba Shigeru ataanza rasmi kutumikia wadhifa wake leo Jumanne katika Bunge. Anasema kuwa ataitisha uchaguzi wa haraka mnamo Oktoba 27 mwaka huu. Alisema, “Naamini ...
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza msaada zaidi wa kijeshi wa dola bilioni 7.9 kwa Ukraine, akisema ni muhimu kwa nchi hiyo kupata hali bora kwenye uwanja wa vita ili kumaliza vita na Urusi.
Katika mchakato huo, Rais Daniel Noboa alitangaza nchi yake kuwa iko katika hali ya "migogoro ya ndani ya silaha" na kuamuru "kuangamizwa" kwa makundi ya wahalifu yanayohusika na ulanguzi wa dawa ...
Hapo jana Waziri wa afya nchini humo Ummy Mwalimu alitangaza wagonjwa wapya watano wa virusi vya corona inayofikisha idadi ya wagonjwa nchini humo kufikia 19. Kwa mujibu wa taarifa ya waziri Ummy ...
WaTanzania wameombwa "wasiwe na hofu" kuhusu kusambaa kwa Ebola, waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema kufuatia taarifa za Ebola kuingia Uganda kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Mpaka wa ...