Introduction Dokta Mdiro, PATIKANA Mkoa wa Ruvuma wilaya ya songea mjini, Karibu kwa wenye shida mbalimbali in shall ah kwa kutumia kubri niliyojaaliwa na mnyaazi mungu na kama lipo ndani ya uwezo ...
“Watu wa tiba asilia (waganga wa jadi) wenyewe pia ni wenzetu kwa sababu wanatusaidia kutibu wagonjwa, lakini endapo wataona wagonjwa hao wana dalili za maambukizi ya ugonjwa wa malaria ...
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. John Rwegasha ameteuliwa kushika wadhifa wa Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Tiba, Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) yenye makao makuu ...
"Ndio maana napigania kupambana na ugonjwa huu wa kisukari," anasema Marie Marthe Chabi. Tiba hii inahusisha kutumia mwanga kwenye mwili wa mgonjwa ili kugundua, anasema, mifumo na njia za ishara ...
Imezoeleka kwa watu hasa wasafiri kutumia tafsida wanapotaka kwenda haja kubwa au ndogo. Maneno maarufu ni ‘kukata gogo’ kwa haja kubwa huku wanaoenda haja ndogo wakisema ‘wanakwenda kuchimba dawa’.
Anamiliki trakti kubwa za ardhi zilizoainishwa kama hifadhi ya asili nchini Zimbabwe na Botswana, jumla ya hekta 187,000. Nicky Oppenheimer ni mwanachama wa nasaba ambayo ilianzisha De Beers ...