Maelezo ya picha, ndege mpya mbili aina ya Bombardier Dash 8 Q400 zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania zazinduliwa na Rais John Pombe Magufuli . 29 Septemba 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa ...
Serikali ya Tanzania imeanza kutumia teknolojia kuwafuatilia faru katika mbuga ya taifa ya Serengeti ili kukabiliana na uwindaji haramu. Shirika la Hifadhi ya Taifa (Tanapa) linashiriki katika ...