Biashara ya kuvuka mipaka imeendelea kuimarika wakati ambao Tanzania imeendelea kuuza zaidi kuliko inavyonunua bidhaa za nje, Ripoti ya Uchumi wa Kikanda ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaeleza.
kama sehemu ya operesheni za usalama dhidi ya "wanamgambo wa Bashar Al Assad. Bila kutoa takwimu, shirika la habari la serikali la SANA liliripoti, siku ya Alhamisi na Jumamosi, "kumata kamata ...
Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini wamemfungulia mashtaka Waziri wa zamani wa Ulinzi Kim Yong-hyun ... wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol la sheria ya kijeshi. Anashtakiwa kwa uasi na matumizi ...
Mazishi ya kitaifa ya Manmohan Singh, waziri mkuu wa zamani wa India anayetazamwa sana ... Asubuhi hii mwili wake ulipelekwa katika ofisi za makao makuu ya chama chake cha Congress mjini New ...
Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi akiongoza akiwa kwenye maadamano katika mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (Suza) Unguja. Wakati wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu ...