UNAWEZA kuona kama ni mapema hivi, lakini sio kwa kocha wa Azam FC Rachid Taoussi ambaye rekodi za kikosi chake zinazimpa jeuri na kusema mpango wake mpya ni dhidi ya Simba na Yanga. Azam kufikia sasa ...
MECHI nne za raundi ya tatu Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara zinapigwa leo viwanja tofauti. Bingwa mtetezi Simba Queens ipo ugenini dhidi ya Ceasiaa Queens kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Betika imezindua rasmi Kampeni yake kubwa ya "Mtoko wa Kibingwa" kwa Msimu ...