Naye kiungo wa timu hiyo, Awesu Awesu, amesema inapokuja mechi ambayo Simba wanacheza hasa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, inakuwa ngumu na haijalishi timu wanayocheza nayo. "Ni mchezo mgumu na siyo ...
Wakati ikiaminika mechi inaisha kwa sare, Kibu akafunga bao la ushindi dakika ya 90+8. Wakati Simba ikicheza soka la kushambulia muda mwingi ikiwa ni silaha yao ya nyumbani, CS Constantine wanapokuwa ...
Kitu cha saba. Simba imebadilika zaidi. Wanaweza kwenda hata fainali kama wakitaka. Wanacheza kwa kasi kubwa tofauti na msimu mmoja uliopita. Wachezaji wengi wapya wamekuwa muhimu katika kikosi cha ...