KAMA kuna msanii aliyesaidia kuwaliwaza Waarabu hasa wa kwao Lebanon basi ni mwimbaji Nouhad Wadie’ Haddad ‘Fairuz’.
Wakati shule za msingi na sekondari nchini zikifunguliwa kwa muitikio mkubwa, baadhi ya wazazi na walezi wameeleza changamoto ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali imetenga zaidi ya Sh. bilioni 114 kukarabati barabara za mikoa ya ...
Mwanzoni mwa mwezi Desemba, baada ya kutokea moto mkubwa katika shule ya bweni katikati mwa nchi, Wizara ya Elimu ilitangaza kufungwa kwa shule karibu 350 za bweni, kutokana na kushindwa kwao ...
Wanafunzi wakiwa shuleni msimu huu wa likizo ya mwisho wa mwaka kama walivyokutwa na mwandishi wa makala haya katika Shule ya Msingi Kibadeni iliyopo Zingiziwa wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
Suala la watu waliobadili jinsia zao limezua mjadala mkubwa wa kisiasa huku Warepublican na Wademocrats wakionyesha msimamo tofauti juu ya sera kama vile matibabu na aina ya vitabu vinavyoruhusiwa ...