KAMA kuna msanii aliyesaidia kuwaliwaza Waarabu hasa wa kwao Lebanon basi ni mwimbaji Nouhad Wadie’ Haddad ‘Fairuz’.