BAADA ya makundi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (Afcon U17) na zile za chini ya umri wa miaka 20 (Afcon U20) 2025 kupangwa juzi, timu ya taifa ya vijana ya ...
Timu za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja imepangwa kundi A na mwenyeji kwenye michuano ya AFCON kwa vijana itakayofanyika ...
IMEBAINIKA Kocha Pep Guardiola, amefunga safari ya siri ya siku tatu kwenda Barcelona, kujaribu kuokoa ndoa yake kwa kukaa ...
Tahadhari imetanda katika Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, baada ya mwanamke mmoja, ambaye jina lake halijafahamika, kukutwa akiwa uchi ndani ya ofisi za Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Inadaiw ...
Dodoma. Wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababishwa na pikipiki maarufu bodaboda katika kipindi cha 2022 hadi 2024, Bunge la Tanzania limeelezwa. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ...
PWANI: SERIKALI ya Cuba imeahidi kutoa ushirikiano kwa serikali ya Tanzania katika katika mapambano dhidi ya malaria. Rais wa Bunge la Cuba, Esteban Hernandez ametoa ahadi hiyo leo Machi 5, 2025 ...
Tunategemea vivutio vya utalii kama vile mbuga za wanyama zikiongozwa na Mbuga ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro na vinginevyo katika nchi nane wanachama wa EAC, vitaendelea kutangazwa na kupigiwa debe ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果