Ndoa ni moja ya taasisi muhimu inayojenga misingi ya familia na jamii kwa jumla. Licha ya kuwa na umuhimu wa kiimani, ndoa pia ina muktadha wa kisheria unaopaswa kuheshimiwa na kudumishwa. Katika hilo ...
Dar es Salaam. Licha ya kufunga ndoa ya dini miaka 10 iliyopita, Jane Elias alijikuta katika sintofahamu baada ya kuambiwa ndoa yake haitambuliki kisheria. Jane ni miongoni mwa wanandoa wengi ...