“HII sio kiki” ndio kauli ya Jacqueline Wolper wakati akizungumza na mwanaspoti kuhusu taarifa ya kuvunjika kwa ndoa yake aliyoitoa hivi karibuni. Wolper ameliambia Mwanaspoti kuwa, baada ya kuandika ...
Ndoa ni muungano mtakatifu unaopaswa kuwa huru na usiotegemea au kuingiliwa na watu wengine. Wakati wa kuapishwa, waliokula kiapo ni wawili tu na si miambili. Hivyo, jukumu la kutunza kiapo chenu ni ...
MSANII wa Bongo Movie, Wema Sepetu amekuwa kwenye mahusiano na watu mbalimbali ikiwamo kuwahi kufunga ndoa na sasa ishu hizo ni kama hana haraka nazo na hataki kufosi mambo. Miaka 11 iliyopita yaani ...
Ndoa ni moja ya taasisi muhimu inayojenga misingi ya familia na jamii kwa jumla. Licha ya kuwa na umuhimu wa kiimani, ndoa pia ina muktadha wa kisheria unaopaswa kuheshimiwa na kudumishwa. Katika hilo ...
Lakini wanawake hawa huamua kusafiri kuona waume zao ambao ni wanajeshi ikiwa njia pekee ya kuhifadhi ndoa zao na familia zao. Wanawake mara nyingi huchagua kusafiri kwa treni hadi mji wa karibu ...