Damas Ndumbaro, ametaja maeneo manne yenye kadhia kubwa kwenye mikoa 11 iliyofikiwa na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC). Ameyataja maeneo hayo kuwa ni migogoro ya ndoa, migogoro ya ...
OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, imebaini idadi kubwa ya kesi zinazowasumbua vichwa, wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa, ni migogoro ya ndoa, mirathi, jinai na kukithiri kwa kesi ...