MWENYEKITI wa Geita Gold, Leonard Bugomola amesema moja ya malengo waliyompa kocha mpya wa timu hiyo, Mohamed Muya ni kuhakikisha kikosi hicho kinacheza Ligi Kuu Bara msimu ujao, licha ya kutopata ...