” Kreta ya Ngorongoro ni sehemu pekee ambako watalii wetu wengi wamekuwa wakivutiwa kuja kutembelea na kwa muda sasa tumekuwa ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na ya Kutathmini uhamaji wa hiari wa wakazi wa ...
Timu za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja imepangwa kundi A na mwenyeji kwenye michuano ya AFCON kwa vijana itakayofanyika ...
ZAIDI ya wanawake 800 kutoka maeneo mbalimbali nchini, watayatumia maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, kufanya utalii wa ndani katika vivutio vya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Maadhimi ...
ARUSHA: SERIKALI ya Tanzania kwa mara ya kwanza imepokea faru weupe 18 kutoka Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi,Dk Pindi Chana ameyasema ...
Tanzania, ikiwa ni Kiongozi wa Utalii wa Safari Duniani na makazi ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Duniani, inaungana na mataifa mengine kusherehekea Siku ya Wanyamapori Duniani leo Machi 03,2025.
Katika Afcon U20 ambazo zitafanyika Ivory Coast kuanzia Aprili 26 hadi Mei 18 mwaka huu, timu ya Taifa ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ imepangwa katika kundi A na wenyeji ... ambapo kikosi hicho ...