MRADI wa upanuzi wa uwanja wa Ndege Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa unatarajiwa kukamilika Aprili mwakani na kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yalibainishwa juzi na Mhandisi ...