Huku mioto ya nyika ikiendelea kusini mwa California, picha zimeonekana za poda ya waridi ikiwa imefunika magari na barabara.
Baadhi ya nyumba katika Mtaa wa Nyasho Kati katika Manispaa ya Musoma zinazotarajiwa kulipwa fidia ili kupisha mradi wa ujenzi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Musoma. Picha na Beldina Nyakeke ...
MRADI wa upanuzi wa uwanja wa Ndege Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa unatarajiwa kukamilika Aprili mwakani na kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yalibainishwa juzi na Mhandisi ...
NDEGE iliyobeba abiria 181 imeanguka katika uwanja wa ndege kusini magharibi mwa Korea Kusini. Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya asubuhi kwa majira ya huko, wakati ilipokuwa ikitua kwenye Uwanja ...
Mawaziri wa Ulinzi Nakatani Gen wa Japani na John Healey wa Uingereza wamekubaliaba kuharakisha uendelezaji wa pamoja uliopangwa wa ndege ya kivita ya kizazi kijacho utakaofanywa na Japani ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema watu wanane wamefariki dunia kutokana na ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ...
Wiki hii Princilla alitua Bongo na kuongea akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA akidai ndoa yake na Jux ipo na wengi kudhani ndio mipango inaanza, kabla ya msanii huyo wa Bongo Fleva anayetamba ...
Wataalam wanasema virusi vya Marburg, ni sawa na virusi hatari vya Ebola, na chanzo ni kutoka kwa ndege wa mwituni aina ya Popo wa matunda. Ugonjwa wa Marburg unasababishwa na virusi na dalili ...