Polisi wamesema mtu aliyekufa alikuwa mfanyakazi wa ndege araia a Uhispania. Wengine watatu, Mhispania, Mjerumani na raia wa Lithuania, wamejeruhiwa na kupelekwa hospitali. Uchunguzi unaendelea ...
HII inaweza kuwa habari njema kwa Yanga baada ya taarifa kutoka Algeria kubainisha kwamba mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi A dhidi ya MC Alger utachezwa palepale ulipopangwa ...
Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya miaka 13 nchini Syria vimeibuka tena baada ya waasi kushambulia ghafla mji wa Aleppo, moja ya miji mikubwa na kituo cha biashara cha kale nchini humo. Serikali ya ...
MAHAKAMA imeelezwa aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultani, alivyokuwa anapokea mzigo wa dawa za kulevya na kuutunza kutoka kwa mmiliki wa Kituo cha Michezo cha Cambianso, kilicho ...