NDEGE iliyobeba abiria 181 imeanguka katika uwanja wa ndege kusini magharibi mwa Korea Kusini. Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya asubuhi kwa majira ya huko, wakati ilipokuwa ikitua kwenye Uwanja ...
MRADI wa upanuzi wa uwanja wa Ndege Ibadakuli katika Manispaa ya Shinyanga, mkoani hapa unatarajiwa kukamilika Aprili mwakani na kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yalibainishwa juzi na Mhandisi ...