Polisi wamesema mtu aliyekufa alikuwa mfanyakazi wa ndege araia a Uhispania. Wengine watatu, Mhispania, Mjerumani na raia wa Lithuania, wamejeruhiwa na kupelekwa hospitali. Uchunguzi unaendelea ...
Eneo la anga karibu na vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko Norfolk na Suffolk limekuwa likichunguzwa kufuatia matukio kadhaa ya hivi karibuni ya uvamizi wa ndege zisizo na rubani. Wanaohusika ...
TANZANIA imepiga hatua kubwa katika sekta ya anga, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa idadi ya abiria waliotumia viwanja vyake vya ndege hadi milioni 6.8 mwaka 2023 kutoka milioni 2.8 mwaka 2020. Kabla ...
"Ufaransa inafunga kikosi cha ndege za kivita katika kituo cha anga cha Kossei huko N'Djamena. Jeshi la Ufaransa linachukua uamuzi wa kuondoa ndege zake," chanzo hiki kimeongeza. Chad ilikuwa ...
Shirika la msalaba mwekundu limesema watu watano wamekufa baada ya ndege ndogo chapa Cessna 206 Stationair iliyokuwa imebeba watu sita kuanguka katika eneo la kusini mashariki mwa mji mkuu wa ...
Ndege za Kampuni ya Air Tanzania zimepigwa marufuku kufanya safari katika anga za Umoja wa Ulaya (EU) kufuatia wasiwasi wa kiusalama uliotolewa na Shirika la Usalama wa Anga la Umoja wa Ulaya ...
Dar es Salaam. Wakati taarifa ya ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuzuiwa kuingia katika anga la nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zikisambaa, Serikali imefafanua ikisema ipo kwenye ...
Walifanikiwa kutuma mawimbi maikro kutoka kwenye ndege iliyo angani hadi ardhini Kampuni ya Japan Space Systems, iliyopewa mradi huo na serikali, ilifanya jaribio la upitishaji umeme wa masafa ...
Dar es Salaam. Jalada halisi la kesi ya kuongoza genge la uhalifu na kuteka nyara za Serikali ambazo ni Kobe 116 inayowakabili watu wanane wakiwemo maofisa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu ...