RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, kuwahamisha wizara, huku sura mpya ‘zikipenyeza’. Kadhalika, Rais amehamisha majukumu ya sekta ya Teknolojia ya Habari, kwenda Wizara ...
Yeye alisema maono ya kaya yako kwenye katiba na mipango ya kaya na siyo kwenye kichwa wala moyo wa rahis. Sita, alionya kuwa kuna uwezekano wa kupunguza marupurupu na mishahara ya wanene na matumizi ...