Baadhi ya maeneo ya Marekani yalifunikwa na theluji wikendi hii huku dhoruba kali ya msimu wa baridi ikikumba nchi nzima. Wakazi katika miji ya Syracuse, New York walipambana na upepo mkali kulima ...
Ilitokea kwa wakati mbaya. Asubuhi ya Jumanne January 7, upepo wenye dhoruba kali unasababisha hasara kubwa ulikuwa unaelekea katika mitaa iliyopo kaskazini mwa Los Angeles. Kituo cha eneo hilo ...
Ipo ya kadi ya chama cha mafyatu hata kama hakina faida wala maana kwangu. Ongeza tozo ya bi mkubwa hata kama ana nongwa nirudipo kayani ukiachia mbali kufyatukafyatuka bure tokana na matatizo ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko katika maandalizi ya mwisho ya uchaguzi mkuu ngazi ya taifa. Uchaguzi huo unatarajia kuwapata viongozi wakuu na wale wa mabaraza ya vijana (CHAVITA), ...
“Jengeni umoja, ustahimilivu na mshikamano huku mkipaza sauti kwa wenzetu waliotekwa na wenzetu wenye roho mbaya katikati ya mapambano. Mkiwachagua viongozi kwa sababu waliwalaza na kuwapa Sh20,000 ...