KATIKA jiji la Abuja, nchini Nigeria, kuna duka la kutengeneza saa la Bala Muhammad. Hapo kuna fundi saa maarufu anayejulikana kwa jina, Baba Bala. Katika zama hizo teknolojia haijakua, alikuwa ...
"Kwa ukiri huu usio na aibu, utawala wa Israel unakiri waziwazi kwa mara ya kwanza wajibu wake kwa uhalifu huu mbaya," Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa Amir Saeid Iravani amesema katika ...
Kulingana na kamusi ya Idara ya Ulinzi ya Marekani, moto wa kirafiki unarejelea kujeruhiwa kwa bahati mbaya au bila kukusudia au kifo cha askari kutoka kwa vikosi washirika vinavyohusika katika ...
Magenge kama yake yamezidisha hali mbaya tayari nchini Haiti, na yanajulikana kwa kuchinja, kubaka na kuwatishia raia. Gran Ravine ni maarufu kwa kutekeleza utekaji nyara ili kupata fidia ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, kuwahamisha wizara, huku sura mpya ‘zikipenyeza’. Kadhalika, Rais amehamisha majukumu ya sekta ya Teknolojia ya Habari, kwenda Wizara ...
Kwa Tanzania inapatika kwa bei ya kuanzia Sh17 milioni na kuendelea. “Hata kama nitanunua magari mangapi lazima nitakuwa na IST hata moja, hii gari haina roho mbaya, haisumbui, hainywi mafuta na ...