CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko katika maandalizi ya mwisho ya uchaguzi mkuu ngazi ya taifa. Uchaguzi huo unatarajia kuwapata viongozi wakuu na wale wa mabaraza ya vijana (CHAVITA), ...