Katika kipindi cha utumishi wake bungeni, Heche alijitokeza kwa kuwasilisha maswali 34 na michango 26 katika vikao vya Bunge.
Baadhi ya wadau wa sekta ya kodi mkoani Mara wamependekeza kupunguzwa kwa wingi wa kodi ili kuimarisha uchumi wa taifa.
WILAYA ya Musoma ni moja ya wilaya za mkoa wa Mara, hasa jimbo la Musoma Vijijini, wana habari njema katika mikakati ya elimu ...
katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara, Paulo Kindamba aliwataka waumini na wananchi kutenga muda wa kuwa na familia zao, kwa kuwa na mshikamano katika familia ili kuepuka changamoto na vizuizi ...