KIPAJI huwa akifichiki. Akiwa ndio kwanza ana miaka mitatu kwenye sanaa ya muziki, lakini nyota yake imekua kwa kasi na kuwaburuza baadhi ya wasanii walioanza kitambo kwenye game ya Bongo Fleva.