Hata hivyo, anasema aliacha dawa kwa muda na alipokwenda kupima, bado alikuwa na maambukizi. Doreen mwenye umri wa miaka 30 sasa, anasema baada ya hapo alipatwa na changamoto ya kiafya ...
kinakutana kuanzia siku ya Jumanne huko Dubai kwa mkutano wake wa mashauriano chini ya uweyekiti wa Falme za Kiarabu. Kwa upande wa Bangui, wanasema jambo kuu la ajenda ni kuondoa jumla ya vikwazo ...
Kipingu ambaye ameacha historia kubwa si tu kwa wanamichezo wengi, pia waigizaji na wanamuziki katika sehemu ya pili ya mahojiano na gazeti hili ameeleza siri ambayo wengi hawaifahamu kuhusu mandhari ...
Ujerumani inaadhimisha siku ya Jumamosi kuanguka kwa Ukuta wa Berlin, ulioanguka miaka 35 iliyopita, huku kukiwa na shangwe nyingi ambazo ni tofauti na hali ya giza ya sasa, inayohusishwa hasa na ...
Idadi ya watoto waliozaliwa Uingereza na Wales, kwa sasa iko chini zaidi tangu miaka ya 1970, takwimu rasmi zinaonyesha. Kiwango cha uzazi - hutazama ni watoto wangapi wanaozaliwa na kila mwanamke ...
Uzalishaji wa methani unaosababishwa na binadamu unawajibikia takriban theluthi moja ya ongezeko la joto duiani kwa sasa. Kupunguza uzalishaji huu ndiyo njia ya haraka zaidi, ya gharama nafuu zaidi ya ...
Dar es Salaam. Wakati takwimu zinaonyesha kuna ongezeko la wanaougua magonjwa ya akili nchini, hali ya upatikanaji wa dawa kwa kundi hilo bado ni changamoto kutokana na gharama kubwa zinazohitajika.