MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuanzia Januari mwakani shughuli za ufanyaji biashara katika Soko la Kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam zitakuwa wazi kwa saa 24.
Taarifa ya soko la kimataifa Kariakoo kufanya kazi saa 24 zilitangazwa Desemba 23 ... Tukio lingine ni la Oktoba 30, 2024 baada ya moto kuzuka na kuteketeza maduka na nyumba Mtaa wa Kipata, Kariakoo ...
DAR ES SALAAM; MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema mpango wa kufanya biashara kwa saa 24 kwenye eneo la Kariakoo, Dar es Salaam, upo mbioni kuanza akisema kinachosubiriwa ni taarifa ya ...
Picha na Sute Kamwelwe. Dar es Salaam. Thamani na shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeongezeka kwa mwaka 2024 licha ya changamoto zinazogusa soko hilo zilizojitokeza.
Chalamila alisema kuwa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika utakapoanza barabara ya stesheni hadi feri itazuiliwa kwa baadhi ya vyombo vya moto ili kupunguza foleni kwa wageni watakaokuja.
Katika jitihada za kujenga nguvu kazi yenye ushindani na ubunifu wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) sasa wataongezewa ujuzi na maarifa ili kukabiliana na changamoto za soko la ajira. Hatua hiyo ...
na kufuatiwa na moto nyinginezo za nyika katika maeneo ya karibu. Maelfu wa majumba ya makazi na mengineo yameteketezwa hadi yakasalia kuwa majivu. Eneo la Sunset Boulevard limesalia na magofu.
Uchumi wa dunia unadorora na hivyo kuzuia soko la ajira kukwamuka kikamilifu, imesema ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la Kazi duniani, ILO iliyotolewa leo huko Geneva, Uswisi. Ripoti hiyo ...
Itafahamika ni timu zipi zimefanya mabadiliko makubwa kwenye vikosi ili kuboresha nafasi katika ligi. Tunakuletea timu 10 ambazo zinaweza kuwa na ushawishi mkubwa katika siku zilizosalia kwenye soko ...
Maafisa nchinji Ujerumani wametoa maelezo ya vitisho vya siku za nyuma kutoka kwa mshukiwa anayetuhumiwa kwa shambulizi la soko la Krismasi mjini Magdeburg. Wizara ya Sheria katika jimbo la ...
Kentucky, MAREKANI MSANII wa kizazi kipya anayefanya vyema nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi ujio wa albamu yake fupi (EP) aliyoipa jina la I AM ...