UFARANSA : RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametangaza uteuzi wa François Bayrou kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, akilenga kuondoa mgogoro wa kisiasa unaoikumba Ufaransa. Bayrou anatarajiwa kuwa ...
(Standard). Mkufunzi wa timu ya Brighton ya wachezaji walio chini ya umri wa miaka 18 Calderon, 42, yuko kwenye mazungumzo ya juu ili kuwa meneja mpya wa Bristol Rovers. (Sky Sports), nje Chanzo ...
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza katika salamu zake za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, ametoa ujumbe maalumu kwa matajiri na wanasiasa. Katika ...
Katika kusherehekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika Sekta ya Nishati, hususan umeme. Je Unajua kabla ya kupata Uhuru mwaka 1961 nchi ...
Ujumbe wa Iraq umekutana siku ya Alhamisi, Desemba 26, na mamlaka mpya ya Syria mjini Damascus, amesema msemaji wa serikali ya Iraq, zaidi ya wiki mbili baada ya rais Bashar Al Assad kutimuliwa ...
Msimu wa sikukuu za Krismasi na mwaka mpya umewadia na kila mmoja yuko mbioni kuhakikisha msimu huu wa sherehe unakuwa wa kufana kwani ni muda wa kujumuika na ndugu jamaa na marafiki. Kwanza ...
"Lazima mji uwe safi, hivyo tutafanya programu maalumu kuhakikisha barabara mpya zote zinakuwa na taa ili ziendane na mazingira," alisema. Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Dk. Khalid Salum ...
Echeverri ambaye amepachikwa jina la ‘Lionel Messi mpya’ atafikisha umri wa miaka 19 wiki ijayo na atajiunga na wenzake huko Etihad, Mwaka Mpya. BAADA ya kuitumikia Namungo kwa muda wa miezi sita ...
KABLA ya kuondoka Yanga, kocha Miguel Gamondi alileta straika mpya na kujifua na kikosi cha timu hiyo kambini, Avic Town, akisubiri kusaini mkataba wakati huu wa dirisha dogo, lakini alichokutana ...
Msimu wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, matukio ya uhalifu yamekuwa yakiongezeka katika maeneo tofauti nchini, kutokana na watu wengi kuwa kwenye mikesha na sherehe wakiacha nyumba bila uangalizi.
Dar es Salaam. Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Android za matoleo ya zamani na unahitaji kuendelea kutumia WhatsApp huna budi kuandaa bajeti ya pesa kununua simu nyingine kwa kuwa mtandao huo uko ...