Waziri mpya wa mambo ya ndani wa Syria amesema askari14 wameuawa na 10 kujeruhiwa katika mapigano na wanajeshi wa utawala wa zamani wa Bashar al-Assad karibu na mji wa Tartus.
Kimbunga cha theluji kimetabiriwa kuikumba pwani ya Bahari ya Japani ya kaskazini ... maeneo ya Tohoku na Kanto-Koshin, pamoja na mkoa wa Niigata; theluji ya sentimeta 60 inatarajiwa kudondoka ...
Mkakati huu unahakikisha wahamiaji na wakimbizi watabeba dhamana ya wasafirishaji haramu ikiwa watatekwa na kukamatwa na askari wa udhibiti wa mpaka au walinzi wa pwani, na hivyo kuruhusu vikundi vya ...
Kampuni hiyo imewekeza katika ufugaji samaki eneo la Kingami Kimarang’ombe Kata ya Nianjema Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani. Akizungumza Desemba 13,2024 wakati wa ziara ya waandishi wa habari ...