Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Japani inasema zaidi ya matetemeko 2,100 yenye nguvu ya 1 au zaidi yamerekodiwa katika eneo la Noto mkoani Ishikawa katikati mwa Japani, tangu tetemeko kubwa la ardhi lilipo ...
Profesa Mshiriki wa Chuo Kikuu cha Toyama Tateishi Ryo alisema mwinuko huo mkubwa wa pwani ulitokana na kuwa karibu na eneo ambapo shughuli za mpasuko zinaendelea na mijongeo mikubwa ya mpasuko.