Daktari wa klabu ya Pamba Jiji, Joseph Chacha amesema wachezaji wako sawa kiafya baada ya ajali ya gari iliyotokea leo mkoani ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Sheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ...
Baadhi ya wadau wa mpira wa miguu mkoani Lindi, wamewataka wazazi wawape fursa watoto wa kike kushiriki michezo hasa mpira wa ...
KAGERA:MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kagera imekusanya Sh bilioni 92.3 kwa kipindi cha Julai – Desemba sawa na asilimia 114 ukilinganisha Sh bilioni 80.9 zilizopangwa kukusanywa. Meneja wa ...
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa ( ALAT) Taifa Murshidi Ngeze amefanya dua kumuombea Rasi Samia Suluhu kwa ...
Mamlaka zimetoa tahadhari ya theluji nzito kwa Mkoa wa Ishikawa, katikati mwa Japani. Maafisa wa hali ya hewa wanaonya juu ya uwezekano wa usumbufu wa safari. Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Japani ...
UPDF wameimarisha uwepo wao wiki hii katika mji huu, mji mkuu wa mkoa wa Ituri, kaskazini-mashariki mwa DRC. Lengo la mkutano huo lilikuwa kuratibu operesheni za pamoja kati ya nchi hizo mbili ...
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Kagera Sugar, Melis Medo anayedaiwa kutemwa na timu hiyo kutokana na matokeo mabaya iliyonayo katika Ligi Kuu, amevunja ukimya kwa kuandika kilichomuondoa ndani ya timu hiyo ...
Rais Yoweri Museveni, ambaye chimbuko lake ni mkoa wa magharibi, ameanza kusihi wanaojaribu kusogea maeneo oevu waondoke mara moja, kulingana na chombo cha habari nchini humo . Rais pia ametangaza ...