Waliofikishwa mahakamani ni Stanslaus Mushi (27), mfanyabiashara mkazi wa Malamba Mawili, Nemence Mushi (29), Rose Nanga (33) ambaye ni mhasibu wa soko mkazi wa Kimara B, Hussein Mlezi (37) fundi wa ...
Dar es Salaam. Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kuiba mita za maji inayomkabili mfanyabiashara Daud George (28). George,mkazi wa Kinondoni anakabiliwa na mashtaka matatu, ...
Dar es Salaam. Mkazi wa Iringa, Anania Mtafya, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, akikabiliwa na shtaka la kujipatia Sh12.5 milioni kwa udanganyifu. Mshtakiwa anadaiwa kujipatia fedha ...
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imeiagiza Rwanda kufunga shughuli zake zote za kidiplomasia na kibalozi nchini humo ndani ya saa 48. Hatua hiyo ...
MHASIBU msaidizi wa Zahanati ya Endanachani , Mohamed Baya ,33, mkazi wa Babati wilayani Babati mkoani Manyara amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka 52 ya ubadhirifu na ufujaji, utakatishaji ...
Pia amesisitiza umuhimu wa “mbinu za kukabiliana na ugaidi zinazozingatia haki za binadamu, zenye misingi ya uwajibikaji na taasisi shirikishi.” Hatimaye, ametilia mkazi umuhimu wa ushirikiano wa ...
Mtoto huyo alichukuliwa na mtu huyo wakati akicheza na mtoto mwenzake Josephat Jangama mwenye umri wa miaka mitatu, mkazi wa kitongoji hicho. Kwa mujibu wa Kamanda Mkama, taarifa zinaeleza kuwa wakati ...
Alisema tukio hilo limesa babisha vifo vya wachimbaji wawili ambao ni Mbesa May enga (30) mkazi wa Kijiji cha Gilya wilayani Bariadi na Yombo Yanga (32) mkazi wa Kijiji cha Dutwa huku Mayenge Zegezege ...
Benjamin Sivanzire, Mwalimu wa teknolojia na Mtafiti huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, amesema matumizi ya Akili Mnemba au (AI) kwenye elimu inasalia kuwa changamoto kubwa ...
Mkazi mmoja ameliambia shirika la habari la AFP kwamba kundi la M23 liliandaa mkutano na wakazi wa mji huo, akisema "limekuja kuikomboa nchi". Kusema ukweli, kila wakati M23 inapouteka mji ...
Mwanaume mwenye umri wa miaka 48 aliyefariki alikuwa mkazi wa Roma, huku aliyejeruhiwa akiwa na umri wa miaka 69, kulingana na AFP. Maafisa wa Misri wanasema watalii hao walisafirishwa hadi ...