Hata hivyo, inaelezwa kuwa hapa kikubwa ni mwanamke kuendelea kumheshimu mume wake kama inavyotakiwa na sio kutaka kumpanda kichwani kisa zawadi hizo, kwani haya ndiyo mwisho wa siku mwanamume ...
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na mfumo mpya wa kilimo cha mpunga uitwao System of Rice Intensification au SRI. Mkulima Ibrahima akafafanua faida yake. “Mfano katika eneo la robo eka, tulikuwa ...
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na mfumo mpya wa kilimo cha mpunga uitwao System of Rice Intensification au SRI. Mkulima Ibrahima akafafanua faida yake. “Mfano katika eneo la robo eka, tulikuwa ...
Ripoti hii inaangalia hali ya haki za binadamu katika zaidi ya mataifa 100, ikiwa ni pamoja na nchi 25 barani Afrika. Mkuu wa HRW kwa Afrika, Mausi Segun, alisema kuwa mwaka 2024 ulishuhudia ...
"Nina wasiwasi mkubwa kuhusu tishio lililopo kwa uadilifu na mshikamano wa eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu la Gaza na Ukingo wa Magharibi," Antonio Guterres ameongeza wakati wa mkutano ...
Raia wa Chad leo wanashiriki uchaguzi wa bunge na wa serikali za mitaa baada ya miaka mitatu ya utawala wa kijeshi. https://p.dw.com/p/4oelX Watu wa makabila ya ...
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limetoa hoja tisa kuhusu marekebisho ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi kwa Mwaka 2024 ... mwajiri ashauriane na chama hicho ili ...
kadi, na pesa, hivyo hakikisha hauti vitu vingi na visivyohitajika. Chagua rangi na mtindo unaolingana na mavazi yako: Kwa mfano, ikiwa unavaa mavazi ya casual, vipochi vya rangi angavu au muundo wa ...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba wakionyesha mfano wa noti mpya za Tanzania zitakazongia kwenye mzunguko kuanzia Februari mosi, ...
(Mirror) Manchester United hawana bajeti ya kuimarisha kikosi chao mwezi Januari na watalazimika kuuza wachezaji kwanza kabla ya kununua ili kuwa na faida na na sheria za uchezaji wa haki za ...
WATU watatu wilayani Gairo, mkoani Morogoro wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuhusika na wizi wa nondo za ujenzi wa Shule ya Msingi ya Amali katika kijiji cha Kwipipa, kata ya Iyogwe ...
Alvacao ndiye atakayesimama kati kupuliza kipyenga na rekodi zinaonyesha mwamuzui huyo katika mechi 21 za kimataifa alizochezesha amemwaga jumla ya kadi 83 ikiwa ni wastani wa kadi 4 kwa kila mchezo, ...