Huko tunasoma historia ya kompyuta lakini pande zingine za dunia tayari wameendelea. Kwa mfano unamkuta mwanafunzi yeye amepata elimu kuhusu Akili Mnemba kuliko mwalimu kwani mwalimu alipofunzwa ...
Jasarevic aamesisitiza kuwa WHO “ina jukumu muhimu katika kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia chanzo cha magonjwa, kujenga mifumo imara ya afya, na kugundua ...
"Nina wasiwasi mkubwa kuhusu tishio lililopo kwa uadilifu na mshikamano wa eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu la Gaza na Ukingo wa Magharibi," Antonio Guterres ameongeza wakati wa mkutano ...
kadi, na pesa, hivyo hakikisha hauti vitu vingi na visivyohitajika. Chagua rangi na mtindo unaolingana na mavazi yako: Kwa mfano, ikiwa unavaa mavazi ya casual, vipochi vya rangi angavu au muundo wa ...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba wakionyesha mfano wa noti mpya za Tanzania zitakazongia kwenye mzunguko kuanzia Februari mosi, ...
WATU watatu wilayani Gairo, mkoani Morogoro wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuhusika na wizi wa nondo za ujenzi wa Shule ya Msingi ya Amali katika kijiji cha Kwipipa, kata ya Iyogwe ...
Tiketi zinaanzia bei ya Shilingi 100 tu za Kitanzania, kuhakikisha kila mtu anaweza kushiriki. Kila tiketi itakayouzwa itachangia kuboresha michezo, elimu, na miradi ya kijamii, aliongeza Mheshimiwa ...
Hakuna anayejali upatikanaji wa hoteli za kutosha, achilia mbali ubora wake. Hakuna anayejali upatikanaji wa kwanza viwanja vya mazoezi, achilia mbali ubora wake. Tuchukulie mfano Kombe la Mapinduzi ...
Wababe hawa wawili katika siasa za chama hicho wanaitaka nafasi ... kwa demokrasia ya chama au ndio mwanzo wa mpasuko wa chama? Maswali haya na mfano wa haya, yatapata majibu baada ya uchaguzi ...
Hii inajiri wakati China ikiwa imeripoti mlipuko wa ugonjwa wa Human metapneumovirus ,HPMV unaofanana na COVID 19 . Daktari Juma Maleve kutoka Hospitali ya rufaa ya Mombasa ,Pwani ya Kenya anafafanua.
Kwa mfano, wanahakikisha watu wamevaa mavazi ya kujisitiri, hakuna dawa za kulevya zinazouzwa katika eneo hilo na Khalifa hadharauliwi. "Baye Fall huhakikisha usalama wa khalifa na jiji," anasema ...
Na Safina Sarwatt, Mtanzania Digital Msimu wa 23 wa mbio maarufu za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2025 umezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki ...