Anthony Mshandete wakati wa kufunga kambi ya tano ya mwaka kwa vijana zaidi ya 70 yenye kauli mbiu “Ubunifu kwa miundombinu ya kesho” . Profesa Mshandete amesisitiza bunifu ni nyenzo zinazoleta ...
Na Dinah Gahamanyi Na kufikia hapo tumefika mwisho wa matangazo yetu ya moja kwa moja kwa leo.Tukutane hapo kesho panapo majaaliwa Watu watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ...
Na Asha Juma & Rashid Abdallah Na hapa ndio mwisho wa taarifa zetu za moja kwa moja, tukutane kesho. Chanzo cha picha, Reuters Rwanda imetangaza rasmi mwisho wa mlipuko wa virusi vya Marburg ...
“Picha rasmi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye ni Muasisi wa Uhuru wetu pamoja na picha ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ziwekwe,” alisema. Maadhimisho hayo ...
Mimi na viongozi wenzangu wote wanaoniunga mkono na wasioniunga mkono.Naamini tutakutana kwenye mazungumzo ya kukiweka chama chetu sawa. “Kila mmoja apewe haki ya kugombea, anayetaka kugombea tukutane ...
Dar es Salaam. Kauli mbiu ya 'demokrasia, uchumi wa soko huru, ajira, changamoto na fursa' ni miongoni mwa mambo yanayotarajiwa kujadiliwa katika maadhimisho ya miaka minne ya kifo cha aliyekuwa ...