Dar es Salaam. Jamshid bin Abdullah, aliyekuwa sultani wa mwisho wa Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya Januari 1964, amefariki dunia nchini Oman akiwa na umri wa miaka 95. Kwa mujibu wa Shirika la Habari ...
Unguja. Baraza la Mitihani Zanzibar, limetangaza matokeo ya darasa la saba yanayoonyesha ufaulu kupanda kwa asilimia 1.66 kutoka asilimia 95 ya mwaka jana hadi kufikia asilimia 96.66, huku watahiniwa ...