LIGI Kuu Tanzania Bara imesimama kwa kipindi cha miezi miwili kupisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 na Michuano ya Mabingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) yanayotarajiwa kuanza ...
KATIKA kuhakikisha inaanza mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania ikiwa imara, uongozi wa Yanga Princess umetangaza kumsajili aliyekuwa beki wa kati wa Fountain Gate Princess, Protasia ...
LONDON, ENGLAND: MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu England utaendelea tena wiki hii, ambapo macho na masikio ya wengi yatakuwa huko kwenye kipute cha dabi ya London Kaskazini, wakati ambapo Arsenal itakuwa ...
Dyche, 53, amepigwa kibuti akiiacha Everton nafasi ya 16 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England, pointi moja juu ya janga la kushuka daraja. Na sasa, kocha wa zamani wa Chelsea, Mourinho huenda akapewa ...
Philémon Yang Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo ameorodhesha maeneo makuu ya shughuli na matukio ya ngazi ya juu kwa mwaka huu wa 2025 akisema kuwa lugha mbalimbali na uwezeshaji wa wanawake ...
(Gazzetta dello Sport) Mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 37, anaweza kujiunga tena na Barcelona kwa mkopo wakati wa msimu wa nje wa Ligi Kuu ya Soka mara tu atakaposaini mkataba mpya na ...
katika miaka yote hazijafanikiwa kutamba kwa kuchukua mataji au kumaliza katika nafasi za juu katika msimamo wa ligi kuu. Mafanikio makubwa ya uwanjani ambayo Jeshi la Kujenga Taifa linajivunia ni ...
MECHI kadhaa za Ligi Kuu England(EPL), Ligi Kuu Ujerumani(Bundesliga) na Italia(Serie A) zinaendelea leo kwenye viwanja tofauti. Liverpool inaendelea kuongoza msimamo wa EPL ikiwa na pointi 46 baada ...
Utafiti uliofanyika Uingereza umepata ushahidi kwamba watu wanao kula kalsiamu zaidi katika milo yao - inaweza kuwasaidia kupunguza hatari ya kupata saratani ya utumbo. Watafiti walichambua milo ...
Ofisa kutoka kitengo kinachosimamia fedha za kigeni kutoka BOT Joshua Mganga akizungumza kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wachimbaji wa Mkoa wa Geita. Geita. Motisha inayotolewa na Benki ...
Ameendelea kusema kwamba hii "Ndiyo sababu kuu ya vifo vya watoto nchini Syria hivi sasa na imekuwa kwa miaka mingi, na itaendelea kuwa, na zaidi ya mabomu ya kutegwa ardhini 300,000 bado yamesambaa ...