Huku upepo mwanana wa asubuhi ukivuma katika ufuo wa Zanzibar, Hindu Simai Rajabu anatembea kwenye maji ya kina cha magoti hadi kufikia shamba lake la sponji katika pwani ya Jambiani, Zanzibar ...