Madai yaliyoenea kwenye mitandao ya kijamii WhatsApp na Telegram kuwa rais wa Kenya, William Ruto ametoa amri kuu ya kuhamisha mji mkuu wa nchi hiyo kutoka Nairobi hadi Nakuru ni ya uongo.