Waziri huyo wa elimu ya msingi alisema kuwa ni ukosefu wa heshima kwenda kinyume na maadili ya tamaduni za taifa hilo. Hatahivyo kiongozi wa kwaya hiyo ametetea hatua yao akisema kuwa ni fahari kubwa.
Hatimae alikua kiongozi wa na mtunzi mkuu wa kwaya, akijikita zaidi katika nyimbo za Zulu waliocheza densi ya isicathamiya kikundi cha Afrika Kusini cha muziki wa kitamaduni ambao mara nyingi ...