Nana anakumbuka akiwa katika dimbwi la umasikini, mnamo 2016 kabla ya kujumuishwa kwenye mpango wa kilimo wa Serengeti Breweries Limited (SBL) ambao ulimwezesha kuwa mmoja wa wakulima wanaolima na ...
Ni mchezo wa kujiuliza kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mjerumani, Sead Ramovic ambaye ataiongoza timu hiyo kwa mara ya tatu tangu atambulishwe Novemba 15, 2024, akichukua nafasi ya Muargentina, Miguel ...
Simba ilianza kwa ushindi wa bao 1-0 nyumbani dhidi ya Bravos do Santos ya Angola, ilitua juzi usiku ikiwa kamili gado kimkakati ili kuhakikisha inatoka na ushindi ugenini na Ofisa Habari wa timu hiyo ...
PAOK ilipata ushindi huo dhidi ya Egaleo FC katika mechi hiyo iliyopigwa juzi, huku Samatta akitumika kwa mara ya kwanza kwa dakika zote 90 ikiwa ni zaidi ya mwezi mzima tangu alipoonekana uwanjani ...