Mradi wa pamoja wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO ujulikanao kama Nabta kwa lugha ya Kiarabu ukimaanisha "mche" ambao lengo lake ni kuwasaidia vijana wajasiriamali kubadili ...
Wamiliki wa maduka wanasema kuwa ikiwa wataweka kamera hizo, wanakabiliwa na hatari ya kuuawa na al-Shabab, na ikiwa hawataweka, wanaweza kukamatwa na polisi. BBC imebadilisha majina ya ...
Katika taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa leo Jumapili Desemba 22, 2024, aliyekuwa Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani, Ramadhan Ng’anzi amehamishwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Makosa ya Maadili ya ...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amewaasa watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kutekeleza majukumu yao kwa ubunifu katika kuendeleza Sekta ya Maliasili na ...
Ajali hizo zinatajwa na Kikosi cha Usalama Barabarani kuwa baadhi zimesababishwa na uzembe wa kibinadamu na nyingine ni ubovu wa magari. Dk Jafo amewapongeza walina asali na Wakala wa Huduma za Misitu ...