Kauli mbiu ya mkutano huo ni "Amani na Mazingira," ikitambua kwamba maendeleo ya kiuchumi hayapaswi kuja kwa gharama ya mazingira. COP16 haipaswi kuchukuliwa kuwa sawa na mkutano wa COP29 kuhusu ...
“Amemwagia mwanangu petroli sijui lengo lake lilikuwa ni nini au alikuwa na nia ya kumuua. Kama ni madai hajarudisha chenji, alipaswa kuja kwa wazazi ili tumlipe, yawezekana alikuwa na lengo la kumuua ...
Mabadiliko katika mfumo wa sarafu yanaweza kuja kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, kuondoa fedha chakavu katika mzunguko ili kuleta mpya. Fedha ikiwa chakavu sana inaweza kutia shaka kwa watumiaji, na ...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda wakati akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26 na Mapendekezo. Dodoma. Waziri wa Elimu, Sayansi na ...
Mabadiliko ya tabianchi yanapoendela kujadiliwa nchini Colombia, aina ya maharagwe yenye ladha nzuri na stahimilivu ambayo imekuwepo kwa karne nyingi inaweza kuwa jawabu kwa watu wa jamii ya asili ya ...
"Kimsingi, Liverpool hawakutaka kuuza na tulikuwa tayari kununua kwa bei gani? Hatutaki kununua kwa bei ya ujinga. Sehemu muhimu zaidi ni ikiwa mchezaji yuko tayari kuja. Sikuhisi mchezaji huyo ...
Haki ya urejeshaji wa utumwa inaweza kuja kwa njia nyingi, ikiwa ni pamoja na fidia ya fedha, msamaha wa deni, kuomba msamaha rasmi, programu za elimu, ujenzi wa makumbusho, msaada wa kiuchumi ...
Mwanahistoria Alan Litman amekuwa na umashuhuri mkubwa kwa utabiri wake katika uchaguzi wa rais wa Marekani. Alan Litman amekuwa akitabiri kwa usahihi nani atakuwa rais wa Marekani tangu mwaka 1984.
Kuongezeka kwa viwango vya maji katika maziwa makuu ya Afrika Mashariki kunazua wasiwasi mkubwa, kulingana na uchunguzi mpya wa satelaiti uliofichuliwa mwaka huu. Katika Ziwa Victoria, Ukerewe ...
Msikilizaji kwa muda sasa mataifa ya Afrika yameendelea kupitia changamoto za kifedha, kuanzia katika kukusanya mapato na matumizi kwa ajili ya maendeleo yake, hali ambayo imesababisha nchi nyingi ...