Wanajeshi wa M23 na Rwanda wanaendelea kusonga mbele katika mkoa wa Kivu Kusini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Rais Cyrill Ramaphosa wa Afrika Kusini alizungumza na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusiana na hali ya mashariki mwa Kongo, ambako waasi wa M23 wanaaminika kuungwa mkono na serikali ya Kigali.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi atashiriki katika mkutano wa kilele wa viongozi wa Mashariki na ...
Soma Pia: Kongo: Kundi la M23 laua watu watano huko Masisi Kwa upande wake Umoja wa Afrika umehimiza "kusitishwa mara moja" kwa mapigano makali mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mkuu wa vikosi vya Ulinzi vya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa 24 vikosi vyote vilivyopo ...
Kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu sasa, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kumekosa utulivu na kushuhudiwa mauaji ya kutisha baina ya vikundi vinavyopingana na Serikali.
VIONGOZI wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamesema njia sahihi ya ...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wameuteka mji muhimu wa mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa Goma... lakini je, M23 kuiteka Goma pamoja na miji na vijiji vingine katika majimbo y ...
SADC na EAC wameonesha nia thabiti ya kutaka kujenga heshima ya ukanda kwa kujitoa kuhakikisha amani inapatikana DRC.
Wanajeshi 13 wanaohudumu na vikosi vya kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameuawa katika makabiliano na waasi wa kundi la M23. Jeshi la Afrika Kusini lilisema wanajeshi wake ...
Mgogoro wowote lazima uwe na wahusika wakuu. Inawezekana pia kukawa na wahusika wadogo. Ili kuelewa msingi wa mgogoro, ni muhimu kutambua wahusika wote.
Matokeo mapya ya kura ya moani ya Newspoll yaliyo chapishwa katika gazeti la The Australian, imeonesha kuwa upinzani wa mseto ...